UN yatoa wito wa kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030

  • | VOA Swahili
    83 views
    Wakati dunia ilipokuwa ikiidhimisha siku ya kutokomeza ukeketaji, Umoja wa Mataifa umetoa wito wa uhitaji wa uwekezaji haraka ili kufikia lengo lililowekwa katika malengo ya maendeleo endelevu ya kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030. Katika taarifa hii niliyoaiandaa inaangalia madhara yanayotokana na ukeketaji na hatua zinazotakiwa kuchukuliwa ili kutokomeza vitendo hivyo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.