Unaweza kula samaki aliyechapishwa kwa 3D

  • | BBC Swahili
    607 views
    Inaonekana kama minofu ya samaki ya kawaida lakini haikuvuliwa baharini. - Minofu ya samaki Chewa na Mkunga imetengenezwa kutokana na seli zinazokuzwa katika maabara na kisha kuchapishwa katika mafumo wa 3D 'kwa mara ya kwanza kabisa', kulingana na kampuni ya teknolojia ya chakula Israeli. #bbcswahili #singapore #israel