"Unaweza kusafiri eneo lote la Afrika bila kuwa na pasi yeyoye ya kusafiria"

  • | BBC Swahili
    974 views
    Katika ufuo wa bahari ya Pwani ya Kenya sehemu ya Tiwi kuna eneo la bahari lililojiunda kama ramani ya Afrika. Ni moja ya maeneo yanayopendwa sana na wakaazi wa eneo hilo. - Hata hivyo kuna changamoto ya usalama katika eneo hili na wakazi wake wanaiomba serikali kulinda eneo hilo kutokana na ujambazi. - Mwandishi wa BBC Seif Dzungu ametembelea eneo hilo na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #Kenya #pwani