Unyanyapaa unaokumba jamii ya Huntha

  • | KBC Video
    12 views

    Licha ya juhudi za watetezi wa haki za binadamu kuimarisha kampeni ya uhamasisho kuhusu jamii ya Huntha humu nchini, jamii hiyo inaendelea kukabiliwa na unyanyapaa. Na katika harakati zao za kutafuta uhusiano wa kudumu jamii ya Huntha bado inakumbwa na changamoto. Kupitia sanaa na uigizaji kundi moja kwa jina Zenn linaojumuisha vijana wa kike na wa kiume linaangazia masaibu ya Huntha na linatuelezea madhila wanayopitia Huntha wanapotafuta wachumba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News