Uongozi ACK I Jonathan Kabiru achaguliwa kuongoza dayosisi ya Nairobi

  • | KBC Video
    32 views

    Kanoni Jonathan Kabiru amechaguliwa kuwa kasisi wa tatu wa dayosi ya Nairobi .Askofu mteule Kabiru aliibuka mshindi katika awamu ya kwanza ya uchaguzi ulioandaliwa na baraza maalum la uchaguzi , linalowajumuisha wajumbe- 23.Uchaguzi huo ulifanyika katika kanisa la kianglikana la St. Stephen lililoko kwenye barabara ya Jogoo jijini Nairobi. Kanon Jonathan Kabiru anachukua mahala pa askofu Joel Waweru aliyestaafu mwezi Septemba mwaka uliopita baada ya kutimu umri wa miaka 60 .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive