Katika mafanikio makubwa ya kimatibabu, madaktari katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta nchini Kenya, wamefanya upasuaji wa kipekee wa gigantomastia, na kuondoa takribani kilo 20 za tishu za matiti kutoka kwa msichana mwenye umri wa miaka 17. Beldeen Waliaula amezungumza na Dkt wa upasuaji Benjamin Wabwire, aliyesimamia upasuaji huo wa kipekee, na alianza kwa kumuuliza hali hii ya kuwa na matiti kupita kiwango cha kawaida husababishwa na nini?
#Kenya #Gigantomastia #upasuaji
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw