Upi mstakabali wa taifa la Sudan?

  • | BBC Swahili
    2,230 views
    Ni miaka 2 tangu kuanza kwa vita nchini Sudan kufuatia mapambano makali kati ya wanajeshi wa Sudan wakiongozwa na Abdel Fattah al-Burhan, na kikosi cha RSF kinachoongozwa na Mohamed Hamdan Dagalo. @RoncliffeOdit ana tathmini ya kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #diratv #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw