Upinzani wadai uteuzi wa makamishna wa IEBC una walakini

  • | KBC Video
    817 views

    Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya ukiongozwa na Kalonzo Musyoka, unadai ipo njama inayopangwa ya wizi wa kura wakati wa uchaguzi mkuu wa 2027 kupitia kile unachodai kuwa ushawishi wa kisiasa katika uteuzi wa makamishna wa tume ya IEBC. Upinzani sasa unataka kuwepo kwa mashauriano baina yao na serikali, kabla ya udhinishaji wa mwenyekiti na makamishna wa tume hiyo watakaoteulia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News