Upusuaji wa mwanafunzi wa Shiners aliyeuawa yaendelea katika hospitali ya rufaa ya Nakuru

  • | NTV Video
    148 views

    Upasuaji wa maiti ya Vincent Ngugi, mwanafunzi wa Shiners aliyeuawa kwa kudungwa kisu shuleni unaendelea katika Makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Nakuru. Tuungane Mubashara na mwanahabari wetu Ruth Sarmwei - Chesenge kwa taarifa zaidi, Ruth nafahamishwa kuwa kisu kilichotumika kimepatikana, je wajua kilipatikana wapi?

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya