USAID yafadhili mradi huo licha ya changamoto za ufadhili

  • | Citizen TV
    162 views

    Kutokana na matatizo yanayowakumba wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Kakuma na Kalobeyei Turkana tangu mashirika kadhaa yaondoe ufadhili wake baada ya marekani kusimamisha ufadhili, Shirika la RAHMA limejitolea kusambazia wakimbizi wa Kakuma, mitungi ya maji magunia ya mchele na mafuta ya kupikia