Usaili wa Inspekta Jenerali: Douglas Kanja ahojiwa na bunge

  • | KBC Video
    40 views

    Douglas Kanja ambaye amependekezwa kwa wadhifa wa inspekta jenerali wa polisi ameahidi kuboresha na kubadilisha vituo vya polisi kuwa vituo vya ufanisi na kuimarisha uwajibikaji miongoni mwa maafisa wa polisi iwapo ataidhinishwa na bunge. Akiongea alipofika mbele ya kamati ya bunge la taifa kuhusu utawala na usalama wa ndani na kamati ya bunge la seneti kuhusu usalama wa taifa, ulinzi na uhusiano na mataifa ya nje kwa usahili, Kanja alisema atashirikiana na tume ya taifa ya huduma ya polisi ili kuboresha maslahi ya maafisa wa polisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive