Usaili wa makamishana wa IEBC waendelea

  • | Citizen TV
    63 views

    kwenye mahojiano ya kuwasaka makamishna wa IEBC yanayoendelea , wawaniaji sita wameratibiwa kusailiwa leo. aliyefungua jukwaa la leo ni Moses Alutalala Mukhwana kutoka Kakamega. Wengine ni Moses Lemayian, Mustafa Mohamed, Mwanamisi Ali , Nelly Ilongo na Obadiah Kipkoech .