Usaili wa makamishna wa IEBC kukamilika juma lijalo

  • | KBC Video
    14 views

    Zikiwa zimesalia siku saba kabla ya kukamilika kwa mchakato wa usaili wa wawaniaji nyadhifa za makamishana wa tume ya IEBC, Jopo la uteuzi linajizatiti kuhitimisha shughuli hiyo. Leo ikiwa ni siku ya kumi na sita, wawaniaji sita walifika mbele ya jopo hilo linaloendeleza zoezi hilo katika chuo cha mafunzo ya Bima, mtaani South C, kila mmoja akitetea uadilifu, uzoefu na maono yake kuhusiana na mchakato wa uchaguzi wenye uwazi. Mwanahabari wetu Ben Chumba na mengi zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive