Usajili wa Hazina ya Bima ya Afya ya Jamii-SHIF waanza

  • | KBC Video
    33 views

    Wahudumu wa afya wa kijamii humu nchini wamehimiza wizara ya afya kuandaa vikao vya uhamasishaji mara moja ili kuwapa ujuzi wa jinsi ya kufanikisha utekelezaji wa hazina ya bima ya afya ya jamii (SHIF) iliyozinduliwa leo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive