Usalama Barabarani I Wakenya wahimizwa kuwajibika kibinafsi

  • | KBC Video
    61 views

    Ipo haja kwa watumizi wa barabara kuwa waangalifu ili kuzuia ajali za barabarani ambazo zimekithiri. Haya yalisemwa na maafisa wa halmashauri ya barabara kuu za humu nchini waliozuru eneo la Salgaa kwenye barabara ya kutoka Nakuru kuelekea Eldoret ambako watu 14 walipoteza maisha kutokana na ajali ya barabarani juma lililopita. Maafisa hao walikagua njia za dharura ambazo zimewekwa katika maeneo ya Sachangwan na Migaa ili kudhibiti mwendo wa magari ambayo yatapata hitilafu za breki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive