Usalama na Siasa

  • | Citizen TV
    624 views

    Mjadala mkali umeibuka nchini maafisa wa usalama kuingilia masuala ya kisiasa baada ya mkuu wa majeshi jenerali charles kahariri kuzungumzia siasa naye inspekta jenerali wa polisi douglas kanja kuhudhuria mkutano wa kisaisa wakati wa ziara ya rais william ruto mlima kenya. Mbunge wa Saboti, Caleb Amisi ndiye wa hivi punde kukashifu vitendo hivyo akisema ni ukiukaji wa katiba na ukandamizaji wa demokrasia.