Usalama samburu: Jamii zatakiwa kukomesha migogoro

  • | KBC Video
    4 views

    Wasomi wa jamii ya wa-Turkana wanaoishi katika kaunti ya Samburu wametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano ya kijamii na badala yake wanahimiza uwiano miongoni mwa jamii zinazoishi katika eneo hilo ambako usalama umedorora kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara ya majangili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive