Usalama wadorora Maragua baada ya msichana wa miaka mitatu kubakwa na kuuawa

  • | KBC Video
    88 views

    Polisi katika eneo la Maragua, kaunti ya Maragua wanamulikwa kutokana jinsi wanavyoshughulikia kisa cha unajisi na mauaji ya msichana wa miaka mitatu na nusu katika eneo hilo wiki mbili zilizopita. Maafisa hao wanashtumiwa kwa kuwakamata wakazi watatu ambao walilaani vikali kisa hicho na kuwalaumu kwa uzembe katika kushughulikia kesi hiyo. Naibu kamishna wa kaunti hiyo Gitonga Murungi hata hivyo amepinga madai hayo, akisema watatu hao wanasaidia polisi katika uchunguzi. Mengi zaidi ni katika taarifa ifuatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive