Ushirikiano wa Rais Ruto na Raila watetewa

  • | KBC Video
    58 views

    Rais Wiliam Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wamejitetea vikali kuhusiana na tuhuma za usaliti, kufuatia makubaliano baina ya vyama vyao vya UDA na ODM ya kufanya kazi pamoja. Wakiongea katika hafla tofauti, rais Ruto na Raila walisema makubaliano hayo hayanuiwi kutimiza maslahi ya kiongozi yeyote, bali kulisaidia taifa hili kutatua changamoto za muda mrefu za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hata hivyo Raila Odinga, ambaye alizuru Kisii baadaye, hakupata mapokezi mema katika uwanja wa Gusii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive