Ushirikishi wa vijana kwenye miradi ni muhimu kwa kudhibiti tatizo la tabianchi

  • | KBC Video
    13 views

    Serikali imehimizwa kutenga za kuwawezesha vijana kuwa msitari wa mbele katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga. Akiongea kwenye mkutano uliowaleta pamoja vijana katika kaunti ya Nairobi, mwenyekiti wa baraza la kitaifa la ushauri kwa vijana, Brenda Aluoch alisema ukosefu wa mifumo dhabiti ya kusaidia vijana, uhaba wa ufadhili na taarifa zinazohitajika kuhusu nafasi zilizopo vimedumiza juhudi za vijana kushiriki kikamilifu kwenye miradi ya kukabiliana na athari za tabianchi.Aidha vijana walihimiza serikali kuweka mikakati ya kukabiliana na majanga hasa wakati huu wa mvua ya masika wakisema ajenda ya vijana inapaswa kushirikishwa katika mpango jumuishi wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive