Ushirikishwaji wa vijana wahimizwa ili kukabili itikadi kali

  • | KBC Video
    70 views

    Wadau wa serikali na wasio wa kiserikali wamehimizwa kuwashirikisha vijana katika kukabiliana na itikadi kali na za kikatili kupitia mipango ya kuwawezesha kiuchumi. Kulingana na afisa mkuu wa uhusiano katika kituo cha kitaifa cha kukabiliana na ugaidi Kanali Emmanuel Chirchir, vijana, ambao wanaweza kutekwa katika shughuli za itikadi kali kwa urahisi, wanaweza kutekeleza jukumu muhimu katika kukomesha ugaidi. Alikuwa akizungumza wakati wa kongamano lenye kauli mbiu ya kuimarisha ushiriki wa vijana katika vita dhidi ya itikadi kali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive