Ushuru mpya wa Trump unamaanisha nini kwa nchi za Afrika Mashariki?

  • | BBC Swahili
    44 views
    Trump ametangaza ongezeko la ushuru kwa bidhaa mbalimbali duniani ikiwemo nchi za Afrika Mashariki. Kwa nchi hizi, ushuru wa bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa Marekani kutoka Afrika Mashariki umewekwa kwa kiwango cha asilimia 10% na 11% kwa DRC. Je ushuru huu utaathiri vipi bidhaa zinazotoka Afrika Mashariki kama Chai, kahawa, na maua, samaki, mbegu za korosho, na bidhaa za ngozi kutoka Tanzania? - #bbcswahili #marekani #afrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw