Ushuru wa Trump una athari zipi kimataifa?

  • | BBC Swahili
    2,757 views
    Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutangaza ushuru zaidi kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka nje. Ushuru huu utakuwa na athari zipi kwa masoko ya kimataifa? Ungana naye @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw