Utafiti umebaini asilimia 40 ya vijana kutoka eneo hilo wanaingia katika ugaidi

  • | Citizen TV
    161 views

    Imebainika kuwa aslimia 40 ya vijana kutoka eneo la Kaskazini Mashariki hushawishiwa kujiunga na vikundi vya kigaidi kutokana ukosefu wa ajira