Utamaduni wa kula Iftar kwa pamoja wakati wa Ramadhani

  • | BBC Swahili
    8,228 views
    Leo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ni mwezi ambao umeshuhudia familia za Kiislamu zikija pamoja; ndugu, jamaa na marafiki katika mlo wa jioni wa Iftar, ili kufungua mfungo. Lakini kwa nini watu hula pamoja wakati wa kufuturu? @RoncliffeOdit alijumuika na familia ya Sheikh Salim Mardhiyya huko Visiwani Zanzibar kupata jibu la swali hilo. 🎥: @frankmavura & Brian Mala #bbcswahili #zanzibar #ramadhani #iftar #futari #mwezimtukufu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw