Utata Wa Ardhi: Mamia ya maskwota waandamana Nairobi

  • | Citizen TV
    287 views

    Wakazi hao wanadai fidia ya shilingi billioni 2.7

    Shamba lao la Dupoto Darfur lilinunuliwa na Shirika la Reli