Utata waghubika uzinduzi wa halmashauri ya SHA

  • | KBC Video
    14 views

    Utata unazidi kughubika uzinduzi rasmi wa hazina ya afya ya jamii (SHA) inayotarajiwa kuchukua nafasi ya hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu (NHIF). Uchunguzi uliofanywa na runinga ya KBC Channel One ulibainisha kwamba Wakenya wengi hawajasajiliwa katika hazina hiyo mpya ya matibabu. Doreen Arange anaangazia suala hili kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive