Utawala wa Kenya Kwanza I Wachanganuzi waorodhesha vizingiti vilivyokumba serikali

  • | KBC Video
    28 views

    Wachanganuzi wa masuala ya kisiasa wanasema serikali ya Rais William Ruto, imekumbana na vizingiti kadhaa katika mwaka wa pili wa utawala wake, mojawapo ikiwa ni kuvunjwa kwa baraza lake la mawaziri, migomo katika sekta mbalimbali, madai ya ongezeko la visa vya ukatili wa polisi, utata kuhusu mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu na visa takriban viwili vya kukatizwa kwa umeme kote nchini. Na huku serikali ikiadhimisha miaka miwili ya utawala, ripota wetu Joseph Wakhungu anatathmini baadhi ya mapungufu ya serikali kupitia jicho la wachanganuzi wa masuala ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive