Utekaji nyara I Waziri Murkomen atetea polisi

  • | KBC Video
    300 views

    Hakuna sera ya serikali au ya huduma ya taifa kwa polisi kuhusu utekeji nyara. Huo ni usemi wake waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen. Waziri huyo hata hivyo ameonya wakenya dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na teknolojia ibuka kutishia mamlaka, akisema sheria itatekelezwa kikamilifu. Murkomen hata hivyo amewatetea maafisa wa polisi dhidi ya madai kwamba wamekosa kutekeleza wajibu wao kwa wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive