Utepetevu Wa Hospitali: Familia yadai jamaa yao alitelekezwa na wahudumu Kisii

  • | Citizen TV
    847 views

    Phanice Kerubo alifariki alipofika kujifungua Kisii

    Jamaa wanalaumu Hospitali ya Magena kwa utepetevu