- 31 views
Wenyeji wa eneo la Magina katika Wadi ya Kakrao kaunti ndogo ya Suna Mashariki wanaishi kwa hofu kufuatia ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika eneo hilo. Wahalifu walio na silaha wamekuwa wakiwashambulia wakazi hao na kuwapora. Hata hivyo, maafisa wa usalama wamenasa washukiwa wanne na kutoa wito kwa wakazi kushirikiana na polisi kukabiliana na utovu huo. Baadhi ya waathiriwa wa mashambulizi hayo ni Sol Okoth ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Dedan Kimathi na Stephen Odoyo ambao walishambuliwa Januari-21 mwaka huu wakitoka kwenye kesha ya matanga.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
utovu wa usalama : Wakazi wa Magina wanaishi kwa hofu
- - Avido ››
- 31 Jan 2025 - Gloria Sakwa, a farmer from Bungoma, is overjoyed after winning Ksh 500,000 in the Shabiki Vuka Njaanuary promotion.
- 31 Jan 2025 - The court has issued an arrest warrant for Alfred Mbugua Gicheha for absconding court sessions for 14 months.
- 31 Jan 2025 - The marathoner represented Kenya in many races but is now leaving in poverty.
- 31 Jan 2025 - It has been eight months since four-month-old baby *Blessing was defiled by an 11-year-old boy. 8 months ago The Standard told baby *Blessings story
- 31 Jan 2025 - Loyalty, performance and desire to create a new alliance ahead of 2027 polls are at the heart of the planned reshuffle.
- 31 Jan 2025 - Russian forces are starting to encircle the strategically important eastern Ukrainian city of Pokrovsk after capturing a string of villages to its south, and Ukraine has halted production at its only coking coal mine nearby.
- 31 Jan 2025 - The High Court has declared the nomination of Zablon Muruka Mokua as a judge at the East African Court of Justice unconstitutional.
- 31 Jan 2025 - The fate of two of the four missing Mlolongo men remains unknown.
- 31 Jan 2025 - Lindah Kiome was elected as the Vice Chairperson.
- 31 Jan 2025 - Police were called into the meeting, held to vet Ghana's new ministerial appointees