Utumizi wa Baiskeli wapigiwa upatu duniani

  • | KBC Video
    12 views

    Shirika moja lisilo la serikali linahimiza utumizi wa baiskeli kama mtindo bora wa usafiri ili kudhibiti gharama za usafiri. Wakati wa warsha kuhusu usafiri wa kutumia baiskeli duniani na manufaa yake iliyoandaliwa jijini Nairobi, ilidokezwa kuwa baiskeli zimerahisisha upatikanaji wa huduma muhimu, kuimarisha uzalishaji na utangamano katika jamii barani humu ambako usafiri wa kutumia magari changamoto. Shirika hilo limehimiza waratibu sera kubuni mikakati ya kushughulikia tatizo la usafiri katika jamii zisizojimudu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive