Uturuki yashambulia upya kambi za PKK huko Syria na Iraqi

  • | VOA Swahili
    142 views
    Uturuki imefanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya kundi la wanamgambo la PKK nchini Syria na Iraqi usiku kucha kuamkia Alhamisi na kulenga maeneo 47 yakijibu shambulizi la bunduki lililouua watu watano mjini Ankara, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo alisema Alhamisi. Sikiliza taarifa kamili ikiletwa na mwandishi wa VOA... #uturuki #ankara #mashambulizi #wanamgambo #pkk #syria #iraqi #voa #voaswahili