Uwanja wa Kipchoge Keino kuhamishwa

  • | Citizen TV
    1,025 views

    Serikali ya kaunti ya Nandi inapania kuhamisha uwanja wa Kipchoge Keino ulioko katikati mwa mji wa Kapsabet hadi uwanja wa maonyesho ya kilimo wa Kapsabet kama njia moja ya kupanua mji huo.