Umati mkubwa wa mashabiki umejitokeza katika uwanja wenye eneo la waogeleaji wanaume kuwaunga mkono wanariadha wanaokonga mioyo yao katika Michezo ya Olimpiki Paris 2024.
Hamasa na shauku kubwa inaongezeka wakati Ganira Belly- Creaus muogeleaji maarufu kutoka Burundi akijitayarisha kwa mashindano ya Mita 50 ya Freestyle huko Uwanja wa Paris La Defense.
#olimpiki2024 #michezo #nyota #ganirabellycreaus #paris #ufaransa #burundi #mashabiki #afrikamashariki #voa #voaswahili
12 Mar 2025
- Spain's government approved a bill on Tuesday imposing massive fines on companies that use content generated by artificial intelligence (AI) without properly labelling it as such, in a bid to curb the use of so-called "deepfakes".
12 Mar 2025
- Former Philippine President Rodrigo Duterte was arrested and taken into custody on Tuesday in Manila on an International Criminal Court warrant for the "war on drugs" that defined his term in office and which killed thousands of Filipinos.