Uzalishaji wa Kahawa nchini

  • | Citizen TV
    166 views

    Waziri wa vyama vya ushirika wycliff Oparanya amesema serikali inaweka mikakati mipya katika kilimo cha kahawa nchini ikiwemo bajeti maalumu ,ili kuongeza zao hilo ili kuwanufaisha wakulima.