Vazi la Lolwa ni maarufu kwa jamii ya Pokot

  • | Citizen TV
    526 views

    Vazi la Lolwa ni mojawapo ya mavazi ya jadi ya jamii ya Wapokot. Licha ya mitindo ya kisasa, vazi hilo limeibuka maarufu miongoni vijana wa kike eneo la Pokot magharibi.