Viapo vya ndoa chini ya maji

  • | BBC Swahili
    1,904 views
    Tazama wanandoa hawa wanaopenda kuzamia chini ya maji wakithibitisha viapo vyao vya ndoa chini ya maji. Wanandoa hawa walikutana kwa mara ya kwanza chini ya maji na wakaamua kurudia tena tukio hilo siku ya ndoa yao wakiwa chini ya maji na kushuhudiwa na marafiki na familia. Je kumbukumbu yenu ya ndoa ilikuwa eneo gani? #bbcswahili #familia #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTls WGw