Vibanda zaidi ya 21 vimeteketea katika mkasa wa saa nne usiku.

  • | Citizen TV
    582 views

    Mali ya thamani isiyojulikana iliharibiwa jana wakati moto ulipozuka na kuteketeza vibanda 21 vya biashara kwenye kituo maalum cha magari ya usafiri Kericho