Video inaonesha polisi wa Illinois akimpiga risasi mwanamke nyumbani kwake

  • | BBC Swahili
    1,010 views
    Polisi wa Illinois nchini Marekani wametoa video hii inayoonesha muda mfupi kabla ya kupigwa risasi kwa Sonya Massey. Mwanamke huyo wa miaka 36 alipiga simu namba 911 kuripoti kuwa anahisi amevamiwa nyumbani kwake. Polisi huyo ameondolewa katika kikosi cha polisi na kushtakiwa rasmi kwa mauaji na utovu wa nidhamu. Amekana mashtaka hayo. #bbcswahili #marekani #polisi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw