Video inaonyesha hali mbaya ndani ya mgodi Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    305 views
    Video iliyorekodiwa na wachimba migodi wa Afrika Kusini waliokuwa wakiishi chini ya ardhi kwa miezi kadhaa inaonesha hali mbaya waliyokuwa nayo chini huku shughuli za uokoaji zikiendelea. Wachimba migodi hao wamekuwa chini ya mgodi huo kusini-magharibi mwa Johannesburg tangu operesheni za polisi zinazolenga uchimbaji haramu wa madini kuanza mwaka jana nchini humo. Mamlaka ilisema wachimbaji madini waliingia shimoni huko Stilfontein kwa makusudi na bila ruhusa, wakizuia chakula na maji. #bbcswahili #afrikakusini #migodi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw