Vijana 661 wafuzu kutoka Chuo cha Utalii

  • | KBC Video
    31 views

    Vijana wamepewa changamoto kutumia shilingi milioni 280 za hazina ya utalii kusaidia wanafunzi kutoka familia maskini wanaohitaji ujuzi wa kuajiriwa katika sekta ya hoteli. Mwito huo ulitolewa wakati wa sherehe ya kufuzu katika chuo cha Utalii ambapo wanafunzi 661 walifuzu baada ya kupata mafunzo mapya ya kuhudumia wateja hotelini walituzwa. Afisa mkuu wa chuo Utalii Mark Achuonyo Okendi aliwahimiza wanafunzi zaidi kujisajili katika chuo hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive