Vijana Garissa wapewa hamasisho ya kutumia teknolojia

  • | Citizen TV
    206 views

    Vijana kwenye kaunti ya Garissa wametakiwa kubuni nafasi za ajira wenyewe kutumia ujuzi wanaopata kutoka kwa masomo na kujiajiri badala ya kutegemea serikali