Vijana kadha wafikishwa mahakamani kwa kuharibu mali wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    88 views

    Vijana 15 wamefikishwa mbele ya mahakama ya Eldoret wakishtakiwa kuhusiana na maandamano ya wiki jana ya kupinga mswada wa fedha mjini humo. Haya yanajiri huku watu wengine wawili wakikanusha mashtaka matatu yanayohusiana na maandamano hayo katika mahakama ya Kiambu na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni-1 na dhamana mbadala ya shilingi laki-2 pesa taslimu kila mmoja. Taarifa kamili katika kitengo cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive