Vijana Kenya walivyo jiandaa kuukaribisha mwaka mpya wa 2024

  • | VOA Swahili
    265 views
    Vijana nchini Kenya wajijiandaa kuukaribisha mwaka mpya wa 2024 wakiwa na matumaini makubwa ya maisha yao #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.