Vijana kutoka Kilifi wairai serikali ya kaunti hiyo kuwapa nafasi ya kuzalisha mali kupitia bahari

  • | Citizen TV
    402 views

    Vijana kutoka eneo la kwa jiwa mjini malindi kaunti ya Kilifi ambao wamehitimu na kupata ujuzi kuhusu uchumi wa bahari na maziwa wanalalamikia ukosefu wa ajira. Vijana hao wanairai serikali ya kaunti ya Kilifi kuwapa nafasi ya kuzalisha mali kupitia bahari ili kuinua uchumi wa kaunti hiyo.