Vijana na kina mamawatakiwa kuhusika katika biashara

  • | Citizen TV
    583 views

    Kutokana na ukosefu wa kazi haswa kati ya vijana na kina mama, kundi la ushirika la Fin Church Aid limejitokeza na kuzindua mradi wa kuwawezesha vijana na kina mama kuwajibika zaidi na kuhusika katika maamuzi kuhusu biasharana ubunifu kwa kutumia teknolojia.