Vijana wa kizazi cha Gen Z wahimizwa kusitisha maandamanona kushiriki mazungumzo na serikali

  • | KBC Video
    4 views

    Katibu mkuu wa chama cha mabawabu humu nchini Isaac Andabwa amehimiza vijana wa kizazi cha Gen Z kusitisha maandamano na kushiriki mazungumzo na serikali ili kupata suluhisho mwafaka.Akiongea na wanahabari, Andabwa ameitaka serikali kutimiza ahadi iliyotoa kwa mabawabu humu nchini. Aidha Andabwa amepongeza hatua ya serikali kubuni nafasi za ajira nje ya nchi kwa wale waliopata mafunzo hitajika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News