Vijana waandamana wakitaka mbunge wao Caleb Amisi kutoka katika chama cha ODM

  • | Citizen TV
    2,802 views

    Shughuli za kibiashara zilikwama katika barabara ya laini moja mjini Kitale baada ya mamia ya vijana kuandamana wakitaka mbunge wao kutoka Saboti agure chama cha ODM. Maandamano hayo yaliibuka baada ya mbunge huyo kukosa nafasi ya uenyekiti wa kamati ya bunge.