Vijana wafanya maandamano ya amani

  • | Citizen TV
    362 views

    Vijana kutoka mashirika mbali mbali ya kijamii wametoa wito kwa serikali kuwajumuisha vijana na jamii za mashinani katika ufadhili na mikakati ya kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.